Everton yanyeshea Sunderland

Usiku wa kuamkia leo, Southampton wakawabana pumzi Bournemouth kwa kuwapiga bao 2- 0.   Katika mechi hiyo Mkenya Victor Wanyama akatupw...

TIMU 3 ZA AFRIKA NJE KOMBE LA DUNIA

Timu tatu kutoka Afrika ziliambulia kichapo katika kombe la dunia la mpira wa pete inayoendelea Sydney Australia. Wawakilishi wa Afrika...

ADAM JUMA KUMTENGENEZA DIAMOND MPYA

Adam Juma amesikika leo akisema hatamani kufanya kazi na mtu yeyote ila anatamani aone msanii anaimba nyimbo nzuri na haijalishi ni msanii ...

PITA KUPATA INFO KUHUSU PAMBANO LA MAYWEATHER VS. PACQUIAO |

Hawa ndio Nyota Wakali walioshindwa kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya

Mafanikio ya mashindano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya yapo mbali kwa Zlatan Ibrahimovic, licha ya kucheza Barcelaon, Inter, Juventus, Milan na...

Thierry Henry ageuka mwalimu wa Biashara

Aliyekuwa mshambulizi mahiri wa timu ya Arsenal ya Uingereza na timu ya taifa ya Ufaransa Thierry Henry aliwashangaza wanafunzi katika shul...

Brazil kupepetana na Ufaransa

Timu ya Taifa ya Brazil itapepetana na Ufaransa katika mchezo wa kirafiki kwa mujibu wa kalenda ya Fifa. Mchezo huu wa miamba hawa wa soka...

Matokeo ya ligi kuu ya England leo.

Ligi kuu ya soka nchini England imeendelea hii leo kwa michezo kumi iliyopigwa kwenye viwanja kadhaa nchini humo. Ukiachana na mchezo wa ...

Sijawahi kulazimishwa na uongozi wa SIMBA kutumia uchawi _Sserunkuma

Mshambuliaji Dan Sserunkuma amesema yeye bado  ni mchezaji wa Simba na wala hafikirii kuondoka Msimbazi kwa sasa na hayo yote yanayosemwa d...

L.O.L umewahi kuona mpira wa miguu wa kuvaa maputo? ebu ona hii kisha tuambie chochote

Dick Advocaat ateuliwa kocha Sunderland

Siku moja baada ya kumtimua wake Gus Poyet klabu inayoshiriki ligi kuu ya Premia ya Uingereza ,Sunderland imemuajiri Dick Advocaat kama mku...

Sunderland yamtimua Gus Poyet

Klabu ya ligi kuu ya Uingereza Sunderland imemtimua kocha Gus Poyet kufuatia msururu wa matokeo duni. Sunderland imesajili ushindi mmoj...

Facebook: Ronaldo ndiye binadamu maarufu

Mchezaji nyota wa Real Madrid ya Uhispania na Ureno Christiano Ronaldo ndiye binadamu maarufu zaidi duniani kwenye Facebook. Nyota huyo ...

'I am Happy' Pharrell taabani tena

Mwimbaji Pharell Williams sasa anashtumiwa na familia ya Marvin Gaye kwa kuiba utunzi wa gwiji huyo katika wimbo wake maarufu ''Hap...

msikilize Mayunga mshindi wa Trace Music Stars.. unadhani anaweza wakilisha vyema Tanzania kule Nairobi?

MAYUNGA amesema kuwa watanzania wategemee mambo makubwa kwani anajiamini na amejiandaa vyema kuhakikisha analeta heshima nyumbani hivy...

HUYU NDIE NALIMI MAYUNGA MSHINDI AIRTEL TRACE MUSIC STARS...

Mshindi wa Airtel Trace Music stars NALIMI MAYUNGA PICHA:NA LIVINGSTONE MINJA meneja uhusiano AIRTEL bw. Jackson MMbando PICHA:NA ...

UJIO MPYA WA AKUDO IMPACT HUU HAPA

bandi ya mziki wa dansi akudo almaarufu kama "vijana wa masauti" wametangaza rasmi ujio wao mpya huku wakiwataka mashabiki wke wa...

Recent Post

Comments

Hot in week

My Blog List

Recent

index