Brazil kupepetana na Ufaransa

Timu ya Taifa ya Brazil itapepetana na Ufaransa katika mchezo wa kirafiki kwa mujibu wa kalenda ya Fifa. Mchezo huu wa miamba hawa wa soka...

Timu ya Taifa ya Brazil itapepetana na Ufaransa katika mchezo wa kirafiki kwa mujibu wa kalenda ya Fifa.
Mchezo huu wa miamba hawa wa soka utachezwa kwenye dimba la Stade de France, Jijini Paris.Ni mchezo muhimu kwa timu zote, Ufaransa wanajianda na michuano ya ulaya itakayofanyika nchini humo mwaka 2016.Huku Brazil wakijiwinda na michuano ya Copa America. Mara ya mwisho timu hizi kukutana ilikuwa mwaka 2013 ambapo Brazil waliichabanga Ufaransa kwa mabao 3-0. mchezo huu utawakutanisha Didier Deschamps na Dunga makocha waliokuwa manahodha wa timu zao wakati wa michuano ya kombe la dunia mwaka 1998 Michezo mingine ya kirafika itakayopigwa hapo kesho ni pamoja na Bahrain na Colombia,huku Chile wakipepetana na Iran.

Related

Burudani/Michezo 1908990034473708146

Post a Comment

emo-but-icon

Recent Post

Comments

Hot in week

My Blog List

Recent

item