Everton yanyeshea Sunderland

Usiku wa kuamkia leo, Southampton wakawabana pumzi Bournemouth kwa kuwapiga bao 2- 0.   Katika mechi hiyo Mkenya Victor Wanyama akatupw...

Usiku wa kuamkia leo, Southampton wakawabana pumzi Bournemouth kwa kuwapiga bao 2- 0.
 Katika mechi hiyo Mkenya Victor Wanyama akatupwa nje kwa kadi nyekundu baada ya kumfanyia madhambi Lee Tomlin.
Baadaye leo jioni tutashuhudia mchezo kati ya Tottenham na Aston Villa.

bbc

Related

Burudani/Michezo 4314820702890217842

Post a Comment

emo-but-icon

Recent Post

Comments

Hot in week

My Blog List

Recent

item