msikilize Mayunga mshindi wa Trace Music Stars.. unadhani anaweza wakilisha vyema Tanzania kule Nairobi?
MAYUNGA amesema kuwa watanzania wategemee mambo makubwa kwani anajiamini na amejiandaa vyema kuhakikisha analeta heshima nyumbani hivy...
https://mzukatz.blogspot.com/2015/03/msikilize-mayunga-mshindi-wa-trace.html
MAYUNGA amesema kuwa watanzania wategemee mambo makubwa kwani anajiamini na amejiandaa vyema kuhakikisha analeta heshima nyumbani hivyo amesisitiza watanzania kuonyesha moyo na ushirikiano kama ule waliompa wakati wa mashindano ya hapa nchini na hatimaye kumfikisha hapo alipo.