UJIO MPYA WA AKUDO IMPACT HUU HAPA

bandi ya mziki wa dansi akudo almaarufu kama "vijana wa masauti" wametangaza rasmi ujio wao mpya huku wakiwataka mashabiki wke wa...

bandi ya mziki wa dansi akudo almaarufu kama "vijana wa masauti" wametangaza rasmi ujio wao mpya huku wakiwataka mashabiki wke wakae mkao wa kula kutokana na wingi wa burudani kali walizowaandalia.
akizungumza na JAHSTONEWS  mmoja kati ya memba wa bendi hiyo almaarufu kama Sura ya Mvutoamesema bendi yao kwa sasa ipo chimbo kwa ajili ya kujifua ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kumudu ushindani katika mziki huo wa dansi ambao unaonekana kuongezeka kila kukicha.
sura ya mvuto (mwenye rasta) akiwa katika mazoezi na waimbaji wenzake maskani yao Akudo

Bendi hiyo ambayo pia inahusisha waimbaji kutoka nchini  DRC Congo imekuwa ikijifua katika maskani yake iliopo mwananyamala ikiwa pia na madansa wa kutosha wakiwemo mabinti ambao wana uwezo wa kutosha katika fani hiyo.
ZIFUATAZO NI PICHA ZA BAADHI YA WASANII NA MADANSA WA BENDI HIYO.








wasanii wa akudo katika mazoezi

Related

Burudani/Michezo 2088119962001675615

Post a Comment

emo-but-icon

Recent Post

Comments

Hot in week

My Blog List

Recent

item