MOTO MABIBO HOSTEL... TIZAMA PICHA HAPA

Makamu mkuu wa chuo kikuu cha dar es salaam Dr. Lwekaza Mukandala  akiongea na  wanahabari juu ya  moto huo unaosemekana chazo chak...


Makamu mkuu wa chuo kikuu cha dar es salaam Dr. Lwekaza Mukandala akiongea na 
wanahabari juu ya moto huo unaosemekana chazo chake ni hitilafu ya umeme
dr. Mukandala pia aliwataka wanafunzi waishio hosteli hapo kuwa wavumilivu
 hadi hapo uongozi utakapowawekea mazingira sawa tena ya kuendelea kuishi humo
hadi sasa hakuna taarifa za kifo chochote licha ya kuwa baadhi ya wanafunzi wachache
kupatwa namajeruhi kadhaa wakati wa moto na kukimbizwa hospitali

PICHA:NA LIVINGSTONE MINJA

hivi ni baadhi ya vyumba viliyoadhiriwa na moto huo







 baadhi magodoro ya wanafunzi waishio 
mabibo hostel yakiwa yameteketea kwa moto





Hawa ni baadhi ya wanafunzi wa UDSM
 waishio mabibo hostel wakiwa wamekaa mahali
 pamoja walipoaizwa kukaa na askari kwa sababu za kiusalama





Polisi nao hawakua nyuma katika kuhakikisha usalam wa eneo hilo
 unakua mzuri
PICHA:NA LIVINGSTONE MINJA

Related

Habari 2211597491859714720

Post a Comment

emo-but-icon

Recent Post

Comments

Hot in week

My Blog List

Recent

item