KILICHOTOKEA KARIBU NA TETEMEKO LILILOUA WATU 300

Matetemeko makubwa mawili yamepiga katikati ya Italia kwa muda wa saa mbili, karibu na eneo ambapo tetemeko jingine lililoua karibu watu...


Matetemeko makubwa mawili yamepiga katikati ya Italia kwa muda wa saa mbili, karibu na eneo ambapo tetemeko jingine lililoua karibu watu mia tatu mwezi Agosti. Matetemeko yote mawili yametokea mashariki mwa jiji la Perugia, likiwa na ukubwa wa kipimo cha Ritcher 5.4 na 6.
Nguzo za umeme zimearifiwa kudondoka na baadhi ya majengo yamebomolewa. Lakini Meya wa karibu na eneo hilo amesema kuwa tayari ameshatoa taarifa kuhusu uharibifu uliotokea kijijini hapo, na kuna taarifa za majeruhi na kusema kuwa picha yote haiwezi kuchukuliwa mpaka mchana.
Watu wengi wameenda nje ya eneo hatari kabla ya tetemeko la pili na nguvu yake kutokea.

BBC

Related

Habari 1746085703843935690

Post a Comment

emo-but-icon

Recent Post

Comments

Hot in week

My Blog List

Recent

item