WATANZANIA WALETEWA FURSA MPYA ZA BIASHARA ULAYA

serikali ya TANZANIA kupitia wizara ya viwanda na biashara iko katika mchakato wa kutafuta soko la bidhaa za tanzania nje ya nchi ili kuwa...

serikali ya TANZANIA kupitia wizara ya viwanda na biashara iko katika mchakato wa kutafuta soko la bidhaa za tanzania nje ya nchi ili kuwawezesha wafanyabiashara wa ndani wanaofanya biashara na wabia mbalimbali kutoka nje na kuja kufanya biashara nchini.

Haya yamesemwa na naibu waziri wa viwanda na biashara bi Janeth mdema wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es saalam katika mkutano uliowahusisha wadau katika sector binafsi na wakurugenzi kutoka sector mbalimbali katika wizara hiyo ili kujadili masuala mbalimbali ya biashara kimataifa
Naibu waziri wa viwanda na biashara bi. Janeth Mdeme akiongea na waandishi wa habari leo jijini dar ves salaam.





Waziri mdeme ameongezea kuwa wizara yake inaunda umoja utakaowezesha Tanzania kufanya biashara na wafanyabiashara kutoka nje ya nchihuku wakiongeza kwa upatikanaji wa gesi nchini utaiwezesha Tanzania kukua kiuchumi kutokana na kushuka kwa bei ya nishati hali itakayoongezea viwanda vidogovidogo nchini.


waandishi na wadau mbambali wa taasisis binafsi na za serikali wakifuatilia mkutano wa naibu waziri jijini dar es salaam








Related

Habari 756596326715973136

Post a Comment

emo-but-icon

Recent Post

Comments

Hot in week

My Blog List

Recent

item