Rais wa Yemen aitaka UN kuingilia kati
Rais wa Yemen Abd Rabbuh Mansour Hadi Rais wa Yemen aliyeko matatani, Abd Rabbuh Mansour Hadi, ameliomba baraza la usalama la umoja wa ...
https://mzukatz.blogspot.com/2015/03/rais-wa-yemen-aitaka-un-kuingilia-kati.html
Rais wa Yemen Abd Rabbuh Mansour Hadi |
Bwana Hadi tayari ameliomba baraza la mataifa ya muungano wa kiarabu kumsaidia kijeshi.
Anajaribu kuunda makao mapya ya utawala katika mji wa bandari wa Aden Kusini mwa Yemen, lakini wanamgambo wa Houthi wameukaribia mji mkuu- Sanaa.
_BBC