MUENDELEZO WA KESI YA JARIBIO LA KUMUUA DR SLAA. Uchunguzi...
Jeshi la polisi kanda maalum ya DAR ES SALAAM imesema inaendelea na uchunguzi kuhusu malalamiko ya Katibu Mkuu wa CHADEMA,DK.WILBROAD SLAA...
https://mzukatz.blogspot.com/2015/03/muendelezo-wa-kesi-ya-jaribio-la-kumuua.html
Jeshi la
polisi kanda maalum ya DAR ES SALAAM imesema inaendelea na uchunguzi kuhusu
malalamiko ya Katibu Mkuu wa CHADEMA,DK.WILBROAD SLAA ya jaribio la kuwekewa sumu na mlinzi wake BW.KHALED
KAGENZI.
kamanda wa jeshi la polisi kanda maalum Suleiman Kova akitoa taarifa kwa waandishi wa hbari leo jijini dsm PICHA:NA LIVINGSTONE MINJA |
Endelea kusoma
Kamanda wa polisi Kanda hiyo SULEIMAN KOVA amesema amepokea taarifa hizo tarehe 8/3/2015 majira ya jioni kupitia wakili wa chama hicho BW.JOHN MALLYA.
Wakati huo huo jeshi la polisi linamshikilia BW.HAROUB MTOPA 44 Mkazi wa MBAGALA anaedaiwa kuwa mtuhumiwa sugu wa utapeli kwa kujifanya katibu wa Rais na kuwatapeli watanzania kuwa atawapatia ajira.
waandishi wa habari wakifuatilia taarifa ya kamanda Kova PICHA:NA LIVINGSTONE MINJA |