Je unamjua Mark Dacascos? msome hapa
Wengi mnam’fahamu kama MARK DACASCOS kijana wenye utashi sana katika movies za action haswa kutokana na ujuzi wake mkubwa wa MARTIA...
https://mzukatz.blogspot.com/2015/03/je-unamjua-mark-dacascos-msome-hapa.html
Bwana huyu alizaliwa Feb.26th 1964 huko Honolulu, Hawaii.U.S akiwa ni kijana wa mzee Al-dacascos mwenyeji wa Hawaii na mama yake Moriko Mc Vey-Murray ambaye ni mchanganyiko wa Irish na Japan.
Baba yake alikuwa ni mtaaalam wa masuala sanaa hii ya upiganaji “ Martial art Istructor” hii pia ilichangia sana Mark D kuwa na ujuzi mkubwa sana katika sanaa hii ya upiganaji.
Kipaji cha kijana huyu kiligunduliwa na Chris Lee- aliye kuwa Assistant Director chini ya Director Wyne Wang huko San Fransicso China.
Miiongoni mwa Movies nyingi alizofanya, hata isahau ONLY THE STRONG 1993 iliyomkuzia jina sana, akiwa kama Master wa style ya CAPOERA alifanikiwa kuwageuza vijana walioonekana na jamii kama walioshindwa na kuwafanya waonekane wa maana sana katika jamii.
MARK DACASCOSS anafahamika pia kama THE CHAIRMAN hii ni kutokana na muendelezo wa show ya JAPANESE CHEF.1993. Katika IRON CHEF AMERICA aliyocheza nafasi ya TAKESH KAGA show hii ilimpatia sana umaarufu na kumbatiza jina la THE CHAIR MAN.
Utauona ukali wake zaidi katka Mortal Kombat Leagacy, The crow Strairway to Heaven, Bother Hood, nk:
_imeandaliwa na WILSON SAMWEL