GARI INAYOPAA YAKAMILIKA... YATIKISA DUNIA...

KAMPUNI ya Kislovakia ya AEROMOBIL  imekua ikiendeleza maono yake ya mda mrefu juu ya kupata gari halisi iliyo na uwezo wa kupaa hewani ka...

KAMPUNI ya Kislovakia ya AEROMOBIL  imekua ikiendeleza maono yake ya mda mrefu juu ya kupata gari halisi iliyo na uwezo wa kupaa hewani kama ndege.
 Kwa mara ya kwanza Mkurugenzi Mtendaji wake bw. Juraj Vaculik ameweka ratiba sahihi  juu ya ukamilifu wake kwa kusema kuwa gari hiyo ya ajabu itabisha hodi katika soko la matajiri  (super-rich markert) mnamo mwaka 2017 na kwamba kwa sasa kila kitu kipo sawa isipokuwa tu mambo machache ikiwemo suala la bei
Kwa zaidi ya miaka mitano kampuni hiyo imekua ikishughulikia mahitaji mengi ya gari hilo ambalo linatazamiwa kuwa mapinduzi makubwa katika teknolojia ya dunia
Vaculik alisema ana matumaini kuwa gari hilo litarahisisha Maisha kwa kiasi kikubwa kwa wanunuzi matajiri wa supercars katika mda wa miaka miwili tu kutoka hivi sasa


Si hayo tu Gari hilo pia litakuwa na teknolojia mpya ya kujiendesha lenyewe iliyogunduliwa hivi karibuni na linatarajiwa kuwa msaada mkubwa kwa nchi, majiji na miji iliyo na trafiki kubwa.


Related

Video 5848190461399064107

Post a Comment

emo-but-icon

Recent Post

Comments

Hot in week

My Blog List

Recent

item