Afande Sele nae atimkia ACT kwa ZITTO... Atangaza NIA ya ubunge morogoro

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini SELEMANI MSINDI maarufu kama AFANDE SELLE  ametangaza rasmi kujiunga  na chama cha ACT akitokea CHA...

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini SELEMANI MSINDI maarufu kama AFANDE SELLE  ametangaza rasmi kujiunga  na chama cha ACT akitokea CHADEMA huku akisema kuwa ZITTO KABWE ndiye mwanasiasa pekee aliyekuwa akivutiwa naye hivyo ameamua kufuatana naye kuamia chama cha ACT ili kujenga demokrasia na usawa

Sele ambae pia ni mwenyekiti wa mtaa huko morogoro amesema amechukizwa sana na kitendo cha chama chake cha awali (CHADEMA) kumfukuza mwanasiasa nguli kama Zitto kwakusema kuwa anakifananisha kitendo hicho na UNYAMA

 mbali na hayo  AFANDE SELE amesema atagombea ubunge katika jimbo la morogoro mjini  kupitia chama hicho mwezi oktoba mwaka huu


Afande Sele akikabidhiwa rasmi kadi ya uanachama wa ACT kutoka kwa mwenyekiti wa chama hicho
PICHA NA :Livingstone Minja

wanachama rasmi wa ACT wakionyesha kadi zao punde tu baada ya kutawazwa kuwa wanachama hai
PICHA NA :Livingstone Minja



_Imeandikwa na Praygod Thadey

Related

Habari 5990670257359101988

Post a Comment

emo-but-icon

Recent Post

Comments

Hot in week

My Blog List

Recent

item