IPHONE 5 ZAIDI YA MILLIONI MBILI ZAUZWA NDANI YA SIKU 3 CHINA
Idara ya mauzo ya Kampuni ya Apple imetangaza kuvunja rekodi ya mauzo ya simu baada ya kuuza simu zao mpya aina ya Iphone 5 zaidi ya m...
https://mzukatz.blogspot.com/2012/12/iphone-5-zaidi-ya-millioni-mbili-zauzwa.html
Idara ya mauzo ya Kampuni ya Apple imetangaza kuvunja rekodi ya mauzo ya simu baada ya kuuza simu zao mpya aina ya Iphone 5 zaidi ya milioni mbili ndani ya siku tatu nchini China.
simu hiyo yenye uwezo mkubwa zaidi kutolewa na kampuni ya Apple ilizindulia rasmi nchini China siku ya ijumaa.
Apple pia imeongeza kuwa simu hiyo itapatikana kwa zaidi ya nchi mia moja duniani ifikapo mwisho wa mwezi huu wa desemba.