HEKIMA.
Hekima hurahisisha maisha ya mtu. . . . Humfanya mwanadamu awe makini zaidi. Lakini kwa uzito zaidi, mimi najua hekima ya wanadamu wa...

https://mzukatz.blogspot.com/2011/06/hekima.html
Hekima hurahisisha
maisha ya mtu. . . .
Humfanya
mwanadamu awe
makini zaidi. Lakini
kwa uzito zaidi, mimi
najua hekima ya
wanadamu wa dunia
hii, ni batili, lakini
Hekima iliyothibitika
ni ile itokayo juu kwa
MWENYEZI MUNGU.
Mungu Ndiye Baba wa
Hekima. . . Naye
hugawia watu kama
apendavyo. Hekima
ya MUNGU inashinda
zote. Ewe MWENYEZI
MUNGU Utujaalie
Hekima Yako ili
tuioneshe kwa watu
uliowaridhia hapa
duniani. Mimi sijisifu
kuwa mwenye
Hekima sana, bali
namtukuza MUNGU
kwa Hekima zake.
maisha ya mtu. . . .
Humfanya
mwanadamu awe
makini zaidi. Lakini
kwa uzito zaidi, mimi
najua hekima ya
wanadamu wa dunia
hii, ni batili, lakini
Hekima iliyothibitika
ni ile itokayo juu kwa
MWENYEZI MUNGU.
Mungu Ndiye Baba wa
Hekima. . . Naye
hugawia watu kama
apendavyo. Hekima
ya MUNGU inashinda
zote. Ewe MWENYEZI
MUNGU Utujaalie
Hekima Yako ili
tuioneshe kwa watu
uliowaridhia hapa
duniani. Mimi sijisifu
kuwa mwenye
Hekima sana, bali
namtukuza MUNGU
kwa Hekima zake.