Wanajeshi wa Sudan walibaka na kuuwa.. soma hapa

Umoja wa mataifa unasema kuwa Wajeshi wa Sudan Kusini wamewabaka kwa zamu wasichana wengi kisha wakawachoma moto wakiwa majumbani mwao. K...

Umoja wa mataifa unasema kuwa Wajeshi wa Sudan Kusini wamewabaka kwa zamu wasichana wengi kisha wakawachoma moto wakiwa majumbani mwao.

Kwa mujibu wa ripoti hiyo mpya ya umoja wa mataifa ukatili huo ulitokea katika eneo la Greater Upper Nile ambako kumekuwa na mapigano makali kati ya vikosi vya serikali na waasi.
UN:Jeshi la Sudan Kusini 'lilibaka na kuwachoma moto wasichana

Katika tukio moja, mwanamke mmoja alilazimishwa kushika makaa ya moto huku akipigwa katika jaribio la kumshinikiza kutambua waliko waasi.
Kufikia sasa hakuna upande uliojibu madai hayo dhidi yao.

Umoja wa mataifa vile vile umelaumu pande zote hasimu kwa kuwalazimisha watoto kuwa wanajeshi, ubakaji na mauaji.

Kufikia sasa hakuna upande uliojibu madai hayo dhidi yao.

_bbc

Related

Habari 413355019949563135

Post a Comment

emo-but-icon

Recent Post

Comments

Hot in week

My Blog List

Recent

item