TANZANIA NAMBA MOJA MFUMO WA DIGITALI
Tanzania imekuwa nchi ya kwanza kutekeleza maazimio ya nchi wanachama wa SADC nay ale ya EAC kutumia mfumo wa digitali kwa asilimia...
https://mzukatz.blogspot.com/2015/04/tanzania-namba-moja-mfumo-wa-digitali.html
Tanzania imekuwa nchi ya kwanza kutekeleza maazimio ya nchi wanachama wa SADC nay ale ya EAC kutumia mfumo wa digitali kwa asilimia 100.
Hayo yamesemwa na Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA),BW.INNOCENT MUNGI wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini DAR ES SALAAM.
Akizungumzia hali ya utangazaji wa televisheni kabla na baada ya ujio wa matangazo ya digitali,MUNGI amesema Tanzania inapata matangazo ya televisheni ya digitali kwa asilimia 100 kwa kupitia mifumo mine katika sehemu tofauti kulingana na huduma husika.
P. Thadey