AirwaysShirika la ndege la Kenya,
Kenya Airways leo limeanza rasmi kupunguza safiri zake katika uwanja wa
ndege wa Dar es Salaam kufuatia agizo la mamlaka ya anga ya Tanzania
kuamuru shirika hilo kupunguza safari zake kutoka 42 kwa wiki hadi 14.
Serikali ya Tanzania inasema
huo ndio mkataba wa tangu awali na kulaumu mamlaka ya anga nchini Kenya
kwa kushindwa kuafikia maelewano na mamlaka ya Tanzania kuhusu jambo
hilo.
Tayari baadhi ya wasafiri wanaotumia ndege za shirika hilo
wameanza kuathirika kufuatia shirika hilo kufuta baadhi ya safari kutoka
Dar es Salaam
GARI INAYOPAA YAKAMILIKA... YATIKISA DUNIA...
-
KAMPUNI ya Kislovakia ya AEROMOBIL imekua ikiendeleza maono yake ya mda
mrefu juu ya kupata gari halisi iliyo na uwezo wa kupaa hewani kama ndege.
Kwa mar...