soma hapa WALICHOKISEMA CUF JUU YA MFUMO WA BVRM

Chama cha wananchi ( CUF ) wamesema kuwa wana wasiwasi mkubwa kuhusu zoezi linaloendea la  undikishakiji mpya wa daftari la wapiga kura kw...

Chama cha wananchi ( CUF ) wamesema kuwa wana wasiwasi mkubwa kuhusu zoezi linaloendea la  undikishakiji mpya wa daftari la wapiga kura kwa kutumia mfumo wa kielectronic ambao unajulikana kama BVR.na kusisitiza kuwa kuendelea kutumia mfumo huo wa kielectoniki ni njia ya serekali kumaliza fedha za walipa kodi na rasilimali za nchi kwa ujumla.

Mkurugenzi wa habari na uenezi CUF Bw. Abdul Kambaya


Hayo yememwa na Naibu Mkurugenzi wa Habari na Uenezi  CUF,  Bw.Abdul Kambaya wakati akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya chama hicho yaliyoko ilala jijiji Dar es salaam.  Ambapo Ameongeza kuwa zoezi hilo lina kasoro kubwa kwani hadi kufika April 28 Zoezi hilo litakuwa  bado halijakamilika.

BW.Abdul ametolea ufafanuzi , baadhi ya mambo yatakayo sababisha zoezi hilo kutokufanya kazi vizuri ikiwa ni pamoja na idadi ya watu wanao jitokeza inazidi idadi ile ambayo tume ya taifa ya uchaguzi imejiwekea,  kwani utafiti unaonyesha kuwa uwezo wa mashine hizo za BVR kufanya kazi ni  chini ya kiwango maana mashine moja inaandikisha idadi ndogo isiyozidi  watu 60 kwa siku, huku lengo la tume ya taifa ya uchaguzi ni mashine moja iwe na uwezo wa kuandikisha watu 80-100 kwa siku.

Pia ameongeza ili zoezi hili liweze kukamilika tume ya taifa ya uchaguzi inahitaji mashine za kibaologia za undikisha kura BVR elfu nne (8000)  na mpaka sasa tume hiyo ina vifaa hivyo vya BVR 250 huku kukiwa na upungufu wa elfu saba mia saba na hamsini.( 7750)  kitu kinacho onesha wazi kuwa zoezi hili halita kamilika kwa wakati.


_Elia Sebastian

Related

Habari 8921087155934599348

Post a Comment

emo-but-icon

Recent Post

Comments

Hot in week

My Blog List

Recent

item