JE Nyota wa 'Empire' ni wapenzi?

Nyota wawili wa filamu ya 'Empire' Adre Lyon na Anika Calhoun ni watu wa familia moja katika filamu hiyo lakini katika maisha ya ka...

Nyota wawili wa filamu ya 'Empire' Adre Lyon na Anika Calhoun ni watu wa familia moja katika filamu hiyo lakini katika maisha ya kawaida wawili hao wamedaiwa kuwa wapenzi.
Nyota wa filamu ya Empire Andre Lyon na Anaika Calhoun
 kama wanavyojiita katika filamu hiyo sasa
wamdaiwa kuwa wapenzi katika maisha yao ya kawaida
Kulingana na mtandao wa TMZ nchini Marekani wawili hao walionekana katika harusi moja wakiwa pamoja na wengi waliohudhuria sherehe hiyo ya kukata na shoka wanasema nyota hao walionekana kupendana.

Katika filamu hiyo ya Empire ambayo ni filamu ya msururu iliyowavutia wengi mwaka huu wawili hao wanaigiza kama mtoto na mama yake wa kambo.

Related

Filamu 1829905026903173305

Post a Comment

emo-but-icon

Recent Post

Comments

Hot in week

My Blog List

Recent

item