FRANQ CHALI (beef chaa) AFUNGUKA JUU YA MADEE KUJITOA TIPTOP..

"Kuna kiblog uchwara hapa town sijui kinaitwa upekuzi3-| kimeandika habari za uongo kuwa MADEE katoka tiptip...acheni kuandika habari...

"Kuna kiblog uchwara hapa town sijui kinaitwa upekuzi3-| kimeandika habari za uongo kuwa MADEE katoka tiptip...acheni kuandika habari msizokua na uhakika nazo>:/ MADEE bado yupo TIPTOP CONNECTION kama kawa...

mshakula vyombo vyenu vya kona bar mshawaka>:/ mnaandika habari zisizo na uhakika au ndio mnataka blog ipate jina:| ni hayo tu :]x Msemaji mkuu wa MADEE!!
#TUSIJUANE:x"
hivyo ndivyo FRANK CHALI alivyofunguka juu ya tetesi za madee...

Post a Comment

emo-but-icon

Recent Post

Comments

Hot in week

My Blog List

Recent

item