Kijana Pascal Issa mkazi wa Tegeta jijini Dar es Salaam ameomba msaada wa fedha au matibabu kwa ajili ya upasuaji wa mguu wake wa kulia...

Kijana Pascal Issa mkazi wa
Tegeta jijini Dar es Salaam
ameomba msaada wa fedha
au matibabu kwa ajili ya
upasuaji wa mguu wake wa
kulia wenye mifupa miwili,
Kijana huyo aliyefika katika
Ofisi za MO BLOG jijini Dar es
Salaam.
Aidha Kijana huyo
amewaomba wasamaria
wema kumsaidia ili
aondokane na mateso
anayoyapata hususani
wakati wa usiku ambapo
mfupa huo wa ziada ulioanza
kujitokeza tangu akiwa na
umri miaka 7 mpaka sasa
akiwa na miaka 24 kuendelea
kukua bila matumaini ya
kupata matibabu.
Kwa yoyote atakayeguswa
na tatizo la kijana huyo
awasiliane naye kwa namba
+255657069870 au
awasiliane na Meneja wa MO
BLOG kwa namba
+255714940992 kwa ajili ya
mawasiliano zaidi.
MO BLOG inawaomba wadau
wanaoweza kumsaidia hata
kupata Daktari wa kumtibu
kwani kutoa ni moyo na
hujafa hujaumbika.
Hii ni Sehemu inayoonyesha
mfupa huo wa ziada
unaoendelea kukua na
kumsababishia maumivu
makal

Post a Comment

emo-but-icon

Recent Post

Comments

Hot in week

My Blog List

Recent

item