juu ya jaribio la kutorosha Ngwajima

Mtoa taarifa ASP Pamphil Mholery OCS Kawe akiwa ni ofisa wa zamu mkoa Kinondoni,trehe 29.3.2015 majira ya 0300hrs alipata taarifa kutoka ...


Mtoa taarifa ASP Pamphil Mholery OCS Kawe akiwa ni ofisa wa zamu mkoa Kinondoni,trehe 29.3.2015 majira ya 0300hrs alipata taarifa kutoka vyanzo vya taarifa kwamba kuna njama za kumtorosha mtuhumiwa.

Akiongozana na makachero majira ya 03:30hrs walifika eneo hilo na kukuta kweli kuna hali sio ya kawaida kwa kuwepo kundi la watu kwa usiku ule.

Wakawakamata watuhumiwa 15 na mmoja wao aitwae Ekomia Diagare alikutwa na begi ambalo lilikutwa na vitu vifuatavyo alivyokuwa akipelekewa Gwajima.

1.Silaha pisto Bereta no CAT 5802 ikiwa na risasi 3.

2.Risasi 17 za shortgun.

3.Vitabu check viwili

4.Passport ya kusafiria yenye jina Gwajima Mathias Joseph no AB544809.

5.Kitabu cha Equity Bank in check.

6.Document mbali mbali za kampuni ya Puma.

7.Charger ya simu na tablets

8.Suruali mbili,makoti mawili,singlend moja,socks pea mbili na boxer moja.

Watuhumiwa wote wako police Oyster kwa mahojiano.



_JF

Related

Habari 2175778374014585883

Post a Comment

emo-but-icon

Recent Post

Comments

Hot in week

My Blog List

Recent

item