KILICHOTOKEA KARIBU NA TETEMEKO LILILOUA WATU 300

Matetemeko makubwa mawili yamepiga katikati ya Italia kwa muda wa saa mbili, karibu na eneo ambapo tetemeko jingine lililoua karibu watu...

ILIPOFIKIA UFARANSA NA WAHAMIAJI

' Serikali ya ufaransa inasema kuwa wamekamilisha uhamishaji wa maelfu ya wahamiaji katika kambi za Calais, maarufu kama jungle. Uv...

TAMKO LA LHRC JUU YA PICHA MBAYA MITANDAONI

mashirika yanayofanya kazi za utetezi wa haki za binadamu hasa zile zinazohusumakundi maalumu yakiwemo wanawake wazee na watoto kwa pamoja ...

Soma jinsi Mateka wanavyotumika kama ngao huko Syria

Taarifa kutoka nchini Syria zinaeleza kwamba ,waasi nchini humo wanatumia askari mateka wanajeshi na wengine wenye uhusiano na serikali ka...

Tizama Mabaki ya ndege ya Urusi iliyoangukwa Misri

Miili ya watu zaidi mia moja na sitini waliokufa katika ajali ya ndege nchini Misri ipo njia kuelekea katika mji wa St. Petersburg nchini ...

Chama AK cha Uturuki chashinda uchaguzi

Chama cha AK cha Uturuki kimepata viti vingi vya bunge vitakavyoweza kudhibiti bunge la nchi hiyo baada ya kupoteza miezi mitano iliyopita...

Magufuli apewa cheti cha ushindi wa uraisi

Mgombea urais kupitia chama cha CCM John Mafuguli amepewa cheti cha ushindi baada ya  kutangazwa kuwa mshindi  wa uchaguzi wa urais uliofa...

Soma hapa Marekani yalaani kufutwa kwa matokeo Zanzibar

Marekani imelaani hatua ya tume ya uchaguzi ya Zanzibar ZEC ya kufuta matokeo ya uchaguzi wa rais pamoja na wajumbe wa bunge la wawakilish...

HII HAPA HOTUBA YA MGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA CHADEMA NA UKAWA MH. EDWARD NGOYAI LOWASSA YA KUZINDUA KAMPENI YA UCHAGUZI MKUU Jangwani-Dar

HOTUBA YA MGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA CHADEMA NA UKAWA MH. EDWARD NGOYAI LOWASSA YA KUZINDUA ILANI NA KAMPENI YA UCHAGUZI MKUU Ja...

PITIA PICHA ZA UFUNGUZI WA KAMPENI ZA UFUNGUZI WA KAMPENI YA 'MAMA ONGEA NA MWANAO'WAZIR

Waziri wa katiba na sheria akipokea tuzo ya heshima kutoka kwa wasanii wa filamu nchini raisi Kikwete akiongea wakati wa ufunguzi wa...

Pita hapa kuona Picha za Mkutano Wa ufunguzi wa Kampeni za UKAWA...

Angalia Uzinduzi kampeni wa Chama Cha Mapinduzi CCM jijini DSM- full video

 Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli amefungua pazia la kampeni za chama hicho kwenye Viwanja vya Jangwani katika tukio lililohudhuri...

Wahamiaji 100 kutoka Asia wanaswa Uganda

Polisi nchini Uganda inamshikilia mshukiwa mmoja na kumsaka mwingine katika kile kinachoonekana kama kusafirisha watu kinyume na sheria. ...

ANGALIA... hiki ndicho alichokisema NAPE NNAUYE kuhusu LOWASA kuhamia CHADEMA

hiki ndicho alichokisema NAPE NNAUYE kuhusu Lowasa kuhamia CHADEMA

NDEGE YAANGUKA YAUWA 100... SOMA HAPA

Takriban watu 100 wameuawa baada ya ndege ya uchukuzi wa kijeshi ya Indonesia kuanguka mapema leo katika maeneo yenye makazi ya watu...

Wanajeshi wa Sudan walibaka na kuuwa.. soma hapa

Umoja wa mataifa unasema kuwa Wajeshi wa Sudan Kusini wamewabaka kwa zamu wasichana wengi kisha wakawachoma moto wakiwa majumbani mwao. K...

Alichoapa Abdul Fattah al-Sisi juu ya ugaidi hiki hapa

 Rais wa Misri Abdul Fattah al-Sisi ameapa kuweka sheria kali kukabiliana na ugaidi, siku moja baada ya mkuu wa mashtaka ya umma kuuawa mji...

Rais Omar al Bashir kupelekwa ICC?

Mahakama nchini Afrika Kusini imeahirisha kwa muda amri yake ya kumzuia rais wa Sudan Omar al Bashir, kuondoka nchini humo. Mahakama ita...

Mtu mmoja apigwa risasi Bujumbura

Habari kutoka Burundi zinasema kuwa mtu mmoja amepigwa risasi na kuuawa katika mji mkuu wa Bujumbura. Mtu huyo alikuwa miongoni mwa waandam...

PITA KUPATA INFO KUHUSU PAMBANO LA MAYWEATHER VS. PACQUIAO |

Recent Post

Comments

Hot in week

My Blog List

Recent

index