ZOEZI LA KURA YA MAONI LAHAIRISHWA RASMI... SOMA HAPA
mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)imetangaza kuahirishwa kwa zoezi la ...

http://mzukatz.blogspot.com/2015/04/zoezi-la-kura-ya-maoni-lahairishwa.html
mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva |
Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari jijini DAR ES SALAAM,Mwenyekiti wa NEC,Jaji Mstaafu DAMIAN LUBUVA amesema hatua hiyo imekuja kutokana na kutokamilika kwa zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la kupiga kura kwa kutumia mfumo wa BVR.
Aidha Jaji LUBUVA ameongeza kuwa tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa kushirikiana na tume ya taifa ya Zanzibar zitakubaliana kwa pamoja kutangaza tarhe husika ya upigaji kura ya maoni wakati wooded vifaa vitakapokamilika kabla ya mwezi julai mwaka huu.
_Praygod Thadey